sw_tn/jdg/05/14.md

16 lines
432 B
Markdown

# kutoka Efraimu, ambao mizizi yao iko katika Amaleki
Wana wa Efraimu waliokuwa wakiishi walikuwa uzao wa Amaleki.
# walikufuata wewe
"wewe" inamaanisha watu wa Efraimu.
# Mariki
Hili ni eneo ambalo uzao wa Mariki waliishi. Mariki alikuwa mwana wa Manase na mjukuu wa Yusufu.
# kutoka Zebuloni wale wanaobeba fimbo ya afisa.
Viongozi wa kivita walitambulika kwa fimbo kama ishara ya mamlaka. "Kiongozi wa kivita wa Zebuloni"