# kutoka Efraimu, ambao mizizi yao iko katika Amaleki Wana wa Efraimu waliokuwa wakiishi walikuwa uzao wa Amaleki. # walikufuata wewe "wewe" inamaanisha watu wa Efraimu. # Mariki Hili ni eneo ambalo uzao wa Mariki waliishi. Mariki alikuwa mwana wa Manase na mjukuu wa Yusufu. # kutoka Zebuloni wale wanaobeba fimbo ya afisa. Viongozi wa kivita walitambulika kwa fimbo kama ishara ya mamlaka. "Kiongozi wa kivita wa Zebuloni"