sw_tn/jdg/05/07.md

20 lines
594 B
Markdown

# mama alichukua amri katika Israeli
Hii inazungumzia juu ya uongozi wa Debora kama mama wa Israeli. "Aliwajali Waisraeli kama ambavyo mama anawajali watoto wake"
# Walichagua miungu wapya
"Wana wa Israeli waliabudu miungo mipya"
# kulikuwa na vita katika malango ya jiji
Neno "malango" linawakilisha mji mzima. "maadui waliwashambulia watu ndani ya miji ya Israeli"
# hapakuwa na ngao au mikuki iliyoonekana kati ya watu elfu arobaini nchini Israeli.
Hii sentensi inaelezea ni kwa kiasi gani Waisraeli walikuwa na silaha chache.
# elfu arobaini nchini Israeli
"40,000 nchini Israeli"