sw_tn/jdg/04/23.md

12 lines
267 B
Markdown

# Mungu alimshinda Jabin, mfalme wa Kanaani, mbele ya watu wa Israeli
Mungu aliwafanya Waisraeli wamshinde Yabini pamoja na jeshi lake.
# Uwezo
"Nguvu za jeshi"
# wakamwangamiza yeye
"yeye" inamaanisha Yabini na jeshi lake. "Wakamwangamiza Yabini na jeshi lake"