# Mungu alimshinda Jabin, mfalme wa Kanaani, mbele ya watu wa Israeli Mungu aliwafanya Waisraeli wamshinde Yabini pamoja na jeshi lake. # Uwezo "Nguvu za jeshi" # wakamwangamiza yeye "yeye" inamaanisha Yabini na jeshi lake. "Wakamwangamiza Yabini na jeshi lake"