sw_tn/jdg/03/19.md

12 lines
419 B
Markdown

# alipofikia mahali ambapo sanamu za kuchonga zilitengenezwa karibu na Gilgali,
"Alipofika mahali karibu na Gigali sehemu ambapo sanamu za kuchongwa hutengenezwa"
# katika chumba cha juu cha baridi
Hiki ni chumba cha juu kilichotumika kwa ajili ya kupumzika na chenye ubaridi hata wakati wa joto.
# Mfalme akasimama kutoka katika kiti chake
Kusimama ni ishara ya kumheshimu Mungu wakati wa kusikiliza ujumbe wake.