# alipofikia mahali ambapo sanamu za kuchonga zilitengenezwa karibu na Gilgali, "Alipofika mahali karibu na Gigali sehemu ambapo sanamu za kuchongwa hutengenezwa" # katika chumba cha juu cha baridi Hiki ni chumba cha juu kilichotumika kwa ajili ya kupumzika na chenye ubaridi hata wakati wa joto. # Mfalme akasimama kutoka katika kiti chake Kusimama ni ishara ya kumheshimu Mungu wakati wa kusikiliza ujumbe wake.