sw_tn/jdg/02/18.md

40 lines
849 B
Markdown

# Bwana aliinua waamuzi.
Bwana alichagua watu kuwa waamuzi kwa njia ya kuwainua juu.
# waamuzi kwa ajili yao ... kuwaokoa
"yao" ina maanisha Waisraeli.
# mikono ya adui zao
"mkono" ina maanisha nguvu za adui za kuwaumiza Waisraeli.
# siku zote muamuzi aliishi
"kwa muda muamuzi alioishi"
# Huruma
Kuwa na huruma juu ya kitu fulani au mtu
# walipougua
Huu ni mlio unatolewa na mtu anayeteseka, inatumika kuelezea maumivu ya Waisraeli.
# Waligeuka
Watu hawakuendelea kumtii Bwana waligeuka.
# Baba zao
"mababu zao"
# Wakaenda kuifuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu
Waisraeli kuiabudu miungu mingine inafananishwa kama vile walitembea kuifuata miungu mingine. "Waliitumikia na kuabudu miungu mingine"
# Walikataa kuacha matendo yao yote mabaya au njia zao za ukaidi.
"Walikataa kuacha kufanya mambo maovu na wakawa wakaidi."