sw_tn/jdg/01/20.md

16 lines
377 B
Markdown

# Hebroni alipewa Kalebu (kama Musa alivyosema)
"Musa alimkabidhi Hebroni kwa Kalebu"
# wana watatu wa Anaki
Viongozi wa watu wa kundi wamezoea kumaanisha kundi zima. "wana watatu wa Anaki na watu wao"
# Anaki
Hili ni jina la mtu. Uzao wake wana sifa ya kuwa warefu sana wa kimo.
# Hata leo
"mpaka sasa" Hii inamaanisha wakati kitabu cha Waamuzi kilipokuwa kinaandikwa.