# Hebroni alipewa Kalebu (kama Musa alivyosema) "Musa alimkabidhi Hebroni kwa Kalebu" # wana watatu wa Anaki Viongozi wa watu wa kundi wamezoea kumaanisha kundi zima. "wana watatu wa Anaki na watu wao" # Anaki Hili ni jina la mtu. Uzao wake wana sifa ya kuwa warefu sana wa kimo. # Hata leo "mpaka sasa" Hii inamaanisha wakati kitabu cha Waamuzi kilipokuwa kinaandikwa.