sw_tn/jdg/01/14.md

16 lines
384 B
Markdown

# Akamsihi
"Aksa akamsihi Othnieli"
# akampa nchi ... kwa kuwa umenipa nchi
Hii inaelezea kuwa Kalebu alimpa nchi aliyoiomba katika sura ya 14. Katika sura ya 15 anaomba sasa na chemichemi ya maji.
# Nibariki
"Nepe neema" au "Nifanyie hivi"
# Kwa kuwa umenipa nchi ya Negebu
Kalebu alimpa Aksa aolewe na Othnieli, hivyo aliishi pamoja na Othnieli katika mji waliouteka Negebu.