# Akamsihi "Aksa akamsihi Othnieli" # akampa nchi ... kwa kuwa umenipa nchi Hii inaelezea kuwa Kalebu alimpa nchi aliyoiomba katika sura ya 14. Katika sura ya 15 anaomba sasa na chemichemi ya maji. # Nibariki "Nepe neema" au "Nifanyie hivi" # Kwa kuwa umenipa nchi ya Negebu Kalebu alimpa Aksa aolewe na Othnieli, hivyo aliishi pamoja na Othnieli katika mji waliouteka Negebu.