sw_tn/jdg/01/06.md

16 lines
410 B
Markdown

# Wakamfuata
"wakamkimbiza"
# Wafalme sabini
"Wafalme 70"
# walikusanya chakula chao chini ya meza yangu
"walikula vipande vya chakula chili ya meza yangu." Aliwalazimisha hawa wafalme kula vipande vya chakula inaonesha namna gani Adoni Bezeki alivyowanyanyasa hawa wafalme.
# ambao na vidole gumba vyako na vidole vikubwa vilikatwa
"niliwaambia watu wangu wavikate vidole gumba vyao na vidole vikubwa"