# Wakamfuata "wakamkimbiza" # Wafalme sabini "Wafalme 70" # walikusanya chakula chao chini ya meza yangu "walikula vipande vya chakula chili ya meza yangu." Aliwalazimisha hawa wafalme kula vipande vya chakula inaonesha namna gani Adoni Bezeki alivyowanyanyasa hawa wafalme. # ambao na vidole gumba vyako na vidole vikubwa vilikatwa "niliwaambia watu wangu wavikate vidole gumba vyao na vidole vikubwa"