sw_tn/jdg/01/04.md

24 lines
451 B
Markdown

# Watu wa Yuda wakavamia
Inamaanisha kwamba watu wa Simoni walivamiwa na watu wa Yuda.
# Wakawaua watu elfu kumi
"waliwaua watu takribani 10,000" au "waliua idadi kubwa ya watu"
# Hao
"askari Wakanaani na Waperizi" au "maadui"
# Bezeki
Hili ni eneo la milima ya Kanaani
# Adoni Bezeki
Alikuwa kiongozi wa jeshi la Wakanaani na Waperizi
# Wakapigana naye
"naye" inamuelezea Adoni Bezeki na jeshi lake. "walipigana naye pamoja na jeshi lake"