# Watu wa Yuda wakavamia Inamaanisha kwamba watu wa Simoni walivamiwa na watu wa Yuda. # Wakawaua watu elfu kumi "waliwaua watu takribani 10,000" au "waliua idadi kubwa ya watu" # Hao "askari Wakanaani na Waperizi" au "maadui" # Bezeki Hili ni eneo la milima ya Kanaani # Adoni Bezeki Alikuwa kiongozi wa jeshi la Wakanaani na Waperizi # Wakapigana naye "naye" inamuelezea Adoni Bezeki na jeshi lake. "walipigana naye pamoja na jeshi lake"