sw_tn/jas/05/16.md

40 lines
772 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Kwa kuwa haw walikuwa waamini wa kiyahudi, Yakobo anawakumbusha watu kuomba kwa kukumbuka moja wa manabii na namna walivyoomba.
# Kwa hiyo ungameni dhambi zenu
Hii ni kukubali makosa yako kwa waamini wengine ili uweze kusamehewa.
# ninyi kwa ninyi,
"kila mmoja na mwenzake"
# ili muweze kuponywa
"Ili Mungu awaponye"
# Maombi ya mwenye haki huzaa matokeo makubwa
Maombi ni kitu chenye nguvu sana. "Mtu anayemcha Mungu akiomba, Mungu anafanya mambo makuu"
# Juhudi
"shauku"
# Tatu ... sita
"3 ... 6"
# mbingu zilimwaga mvua
Mbingu inamaanisha mawingu ambayo inaelezwa kama chanzo cha mvua. "Mvua ilishuka toka mawinguni"
# nchi ikatoa mavuno.
Hapa nchi inaelezwa kama chanzo cha mavuno
# Matunda
"Matunda" inamaanisha mazao ya mkulima