sw_tn/jas/05/09.md

32 lines
670 B
Markdown

# Nsinung'unikiane, ndugu ... ninyi
Yakobo anawaandikia waamini wa Kiyahudi waliotawanyika.
# ninyi kwa ninyi,
"kila mmoja na mwenzake"
# Hamtahukumiwa
Hii yaweza kuwa "Kristo hatawahukumu ninyi"
# hakimu anasimama mlangoni
Yakobo anamfananisha Yesu, kama hakimu kwa mwanadamu na kuelezea ni kuwa bado mda mfupi sana Yesu atarudi kuhukumu ulimwengu"
# mateso na uvumilivu wa manabii
"ni kwa namna gani manabii walivumilia mateso na hukumu"
# walionena katika jina la Bwana
"Waliongea kwa jina la Bwana kwa watu"
# Tazama
"Tazama" inasisitiza "sikiliza kwa makini" au "kumbuka"
# wale wanaovumilia
"Wale watakaoendelea kumtii Mungu hata katika hali ngumu"