# Nsinung'unikiane, ndugu ... ninyi Yakobo anawaandikia waamini wa Kiyahudi waliotawanyika. # ninyi kwa ninyi, "kila mmoja na mwenzake" # Hamtahukumiwa Hii yaweza kuwa "Kristo hatawahukumu ninyi" # hakimu anasimama mlangoni Yakobo anamfananisha Yesu, kama hakimu kwa mwanadamu na kuelezea ni kuwa bado mda mfupi sana Yesu atarudi kuhukumu ulimwengu" # mateso na uvumilivu wa manabii "ni kwa namna gani manabii walivumilia mateso na hukumu" # walionena katika jina la Bwana "Waliongea kwa jina la Bwana kwa watu" # Tazama "Tazama" inasisitiza "sikiliza kwa makini" au "kumbuka" # wale wanaovumilia "Wale watakaoendelea kumtii Mungu hata katika hali ngumu"