sw_tn/jas/04/13.md

16 lines
564 B
Markdown

# kukaa huko mwaka
Yakobo anazungumzia kutumia mda kama pesa. "kaeni huko mwaka mzima"
# Ni nani ajuaye nini kitatokea kesho
Yakobo anatumia swali hili kuisahihisha hadhira yake. "Hakuna ajuaye kitakachotokea kesho"
# maisha yenu ni nini hasa?
Yakobo alitumia swali hili kufundisha waamini kuwa maisha ya kimwili sio ya muhimu sana. "fikirini juu ya maisha yenu ya kimwili"
# Kwa kuwa mnafanana kama ukungu unaotokea kwa muda mfupi na kisha hupotea.
Yakobo anawafananisha watu na ukungu ambao hutokea na kupotea kwa haraka. "mnaishi kwa muda mfupi na kufa"