sw_tn/isa/65/12.md

12 lines
356 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza kwa wale wa Israeli ambao huabudu sanamu.
# amekukusudia kwa ajili ya upanga
"Upanga" inawakilisha silaha za vita ambazo Yahwe atatumia kuafhibu wale ambao hawaitikii wito wa Yahwe.
# nilipoita, haukujibu; nilipozungumza, haukusikiliza
Vishazi vyote vina maana moja na vinarudiwa kwa ajili ya msisitizo.