# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza kwa wale wa Israeli ambao huabudu sanamu. # amekukusudia kwa ajili ya upanga "Upanga" inawakilisha silaha za vita ambazo Yahwe atatumia kuafhibu wale ambao hawaitikii wito wa Yahwe. # nilipoita, haukujibu; nilipozungumza, haukusikiliza Vishazi vyote vina maana moja na vinarudiwa kwa ajili ya msisitizo.