sw_tn/isa/65/08.md

12 lines
387 B
Markdown

# Kama pale juisi inavyopatikana kwenye vishada vya mizabibu
Yahwe analinganisha watu wa Israeli kwa kishada cha mizabibu ambacho bado kina juisi nzuri ndani yake.
# pale juisi inavyopatikana kwenye vishada
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "utakapokuta juisi katka kishada"
# sitawaharibu wote
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "Nitawaacha wale ambao ni wa haki"