# Kama pale juisi inavyopatikana kwenye vishada vya mizabibu Yahwe analinganisha watu wa Israeli kwa kishada cha mizabibu ambacho bado kina juisi nzuri ndani yake. # pale juisi inavyopatikana kwenye vishada Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "utakapokuta juisi katka kishada" # sitawaharibu wote Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya chanya. "Nitawaacha wale ambao ni wa haki"