sw_tn/isa/64/01.md

20 lines
598 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza kwa Yahwe.
# O! kama unge
Isaya anatambulisha haja hii kwa uwepo wa Yahwe katika kipindi cha nyuma kwa mshangao mkubwa.
# kama ungepasua wazi mbingu
Kama Yahwe amejionyesha kwa mbwembwe kwa kupasua wazi mbingu. Maneno "kupasua wazi" yana maana ya kuchana kipande cha nguo mbalimbali.
# milima ingetetemeka
Milima ingeweza kutetemeka kama vile tetemeko.
# kama pale moto uwashao misitumisitu, au moto unaofanya maji kuchemka
Hii yawezekana kusisitiza jinsi uwepo wa Mungu ungeweza kusababisha kwa urahisi milima na watu kutetemeka.