# Taarifa ya Jumla Watu wa Israeli wanaendelea kuzungumza kwa Yahwe. # O! kama unge Isaya anatambulisha haja hii kwa uwepo wa Yahwe katika kipindi cha nyuma kwa mshangao mkubwa. # kama ungepasua wazi mbingu Kama Yahwe amejionyesha kwa mbwembwe kwa kupasua wazi mbingu. Maneno "kupasua wazi" yana maana ya kuchana kipande cha nguo mbalimbali. # milima ingetetemeka Milima ingeweza kutetemeka kama vile tetemeko. # kama pale moto uwashao misitumisitu, au moto unaofanya maji kuchemka Hii yawezekana kusisitiza jinsi uwepo wa Mungu ungeweza kusababisha kwa urahisi milima na watu kutetemeka.