sw_tn/isa/61/03.md

28 lines
675 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Isaya anaendelea kuzungumza.
# kuwapa ... kuwapatia
Isaya anarudia hivi kusisitiza.
# kilemba
"kilemba cha kichwani" au "kifuniko kizuri cha kinywani". Hii ni kitambaa kirefu cha nguo kinachozunguka kichwa.
# mafuta ya furaha ... joho la sifa
Watu huweka mafuta juu yao na kuvaa joho zuri, ndefu wakati wa sherehe na shangwe.
# katika nafasi ya roho ya kutojali
"katika nafasi ya huzuni" au "katika nafasi ya maombolezo"
# mwaloni wa utakatifu, kupandwa kwa Yahwe
Hii ina maana Yahwe amesababisha watu kuwa na nguvu na imara.
# ili aweze kutukuzwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "ili kwamba maisha ya watu yaweze kumtukuza yeye"