sw_tn/isa/56/06.md

20 lines
533 B
Markdown

# wanaojiunga kwa Yahwe
Hii ina maana ya wageni ambao wamejiunga na watu wa Yahwe.
# wanaolipenda jina la Yahwe
"jina" linawakilisha tabia na utu wa Yahwe. "wanaompenda Yahwe"
# mlima mtakatifu
"Mlima mtakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu. "katika mlima mtakatifu wote wa Yahwe"
# zitapokelewa juu ya madhabahu yangu
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nitapokea juu ya madhabahu yangu"
# nyumba yangu itaitwa nyumba ya maombi
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "nyumba yangu itakuwa nyumba ya maombi"