# wanaojiunga kwa Yahwe Hii ina maana ya wageni ambao wamejiunga na watu wa Yahwe. # wanaolipenda jina la Yahwe "jina" linawakilisha tabia na utu wa Yahwe. "wanaompenda Yahwe" # mlima mtakatifu "Mlima mtakatifu" ni Mlima Sayuni, katika Yerusalemu. "katika mlima mtakatifu wote wa Yahwe" # zitapokelewa juu ya madhabahu yangu Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Nitapokea juu ya madhabahu yangu" # nyumba yangu itaitwa nyumba ya maombi Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "nyumba yangu itakuwa nyumba ya maombi"