sw_tn/isa/52/15.md

24 lines
812 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza juu ya mtumishii wake.
# mtumishi wangu atanyunyizia mataifa mengi
Mtumishi kusababisha watu wa mataifa kukubaliika kwa Yahwe inazungumziwa kana kwamba mtumishi alikuwa kuhani anayenyunyizia damu ya sadaka kufanya mtu au kitu kukubalika kwa Yahwe.
# atanyunyizia
Neno la Kiebrania lilitafsiriwa "kunyunyizia" hapa linaweza kutafsiriwa kama "mshangao" au "shtusha", ambavyo baadhi ya tafsiri za Biblia hufanya.
# mataifa mengi
Hapa "mataifa" yanawakilisha watu wa mataifa.
# wafalme watafunga midomo yao
Msemo "kufunga midomo yao" ni lahaja. "wafalme wataacha kuzungumza" au "wafalme watakaa kimya"
# kile ambacho hawakuambiwa
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "kile ambacho hakuna mtu alichowaambia" au "kitu ambacho hakuna mtu alichowaambia"