|
# Maelezo ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
|
|
|
|
# hautakiri kuwa kile nilichosema ni ukweli?
|
|
|
|
Yahwe anatumia swali kukaripia watu wa Israeli kwa kutokiri kile wanachopaswa kujua ni ukweli. "wewe ni kaidi na hautakiri kile nilichosema ni kweli"
|