# Maelezo ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # hautakiri kuwa kile nilichosema ni ukweli? Yahwe anatumia swali kukaripia watu wa Israeli kwa kutokiri kile wanachopaswa kujua ni ukweli. "wewe ni kaidi na hautakiri kile nilichosema ni kweli"