sw_tn/isa/47/10.md

20 lines
647 B
Markdown

# Kauli Unganishi
Yahwe anaendelea kuzungumza na Babeli kuhusu anguko lake kana kwamba alikuwa malkia ambaye ameaibishwa.
# unasema moyoni mwako
Hapa neno "moyoni" lina maana ya utu wa ndani. "unasema kwako mwenyewe"
# Maafa yatakuzidi
Yahwe anazungumzia balaa kana kwamba ilikuwa mtu ambaye anakamata Babeli. "Utapitia maafa"
# Uharibifu utaanguka juu yako
Yahwe anazungumzia Babeli kuharibiwa kana kwamba uharibifu ulikuwa kitu ambacho huanguka juu ya mji. "Utapitia uharibifu" au "Wengine watakuangamiza"
# Janga litakupiga
Yahwe anazungumzia Babeli kupitia janga kana kwamba janga lilikuwa mtu ambaye anapiga Babeli. "Utapitia janga"