# Kauli Unganishi Yahwe anaendelea kuzungumza na Babeli kuhusu anguko lake kana kwamba alikuwa malkia ambaye ameaibishwa. # unasema moyoni mwako Hapa neno "moyoni" lina maana ya utu wa ndani. "unasema kwako mwenyewe" # Maafa yatakuzidi Yahwe anazungumzia balaa kana kwamba ilikuwa mtu ambaye anakamata Babeli. "Utapitia maafa" # Uharibifu utaanguka juu yako Yahwe anazungumzia Babeli kuharibiwa kana kwamba uharibifu ulikuwa kitu ambacho huanguka juu ya mji. "Utapitia uharibifu" au "Wengine watakuangamiza" # Janga litakupiga Yahwe anazungumzia Babeli kupitia janga kana kwamba janga lilikuwa mtu ambaye anapiga Babeli. "Utapitia janga"