sw_tn/isa/47/08.md

24 lines
703 B
Markdown

# Kauli Kiunganishi
Yahwe anaendelea kuzungumza na Babeli kuhusu anguko lake kana kwamba alikuwa malkia ambaye ameaibishwa.
# wewe upendaye anasa
"wewe mwenye starehe". Hii ina maana ya starehe nyingi ambazo Babeli alifurahia.
# kwa imara
Hii ina maana ya dhana ya usalama ya uongo ya Babeli katika kuwaza ya kwamba hatapoteza nafasi yake ya utajiri na heshima. "unayedhani upo salama"
# Sitawahi kukaa kama mjane ... kupotewa kwa watoto
Babeli kuamini ya kwamba mataifa mengine hawataweza kumshinda inazungumziwa kana kwamba hatawahi kuwa mjane au hatawahi kufiwa na watoto.
# Sitawahi kukaa kama mjane
"Sitawahi kuwa mjane"
# katika muda mmoja katika siku moja
"ghafla katika wakati mmoja"