sw_tn/isa/44/18.md

12 lines
359 B
Markdown

# kwa maana macho yao ni vipofu na hayawezi kuona
Yahwe anazungumzia watu ambao hawawezi kuelewa upumbavu wa kuabudu sanamu kana kwamba walikuwa vipofu.
# kwa maana macho yao ni vipofu
Hapa "macho yao" yanawakiilisha mtu mzima. "kwa maana ni vipofu"
# mioyo yao haiwezi kutambua
Hapa neno "mioyo" inawakilisha akili na mawazo ya watu. "hawawezi kuelewa"