# kwa maana macho yao ni vipofu na hayawezi kuona Yahwe anazungumzia watu ambao hawawezi kuelewa upumbavu wa kuabudu sanamu kana kwamba walikuwa vipofu. # kwa maana macho yao ni vipofu Hapa "macho yao" yanawakiilisha mtu mzima. "kwa maana ni vipofu" # mioyo yao haiwezi kutambua Hapa neno "mioyo" inawakilisha akili na mawazo ya watu. "hawawezi kuelewa"