sw_tn/isa/44/07.md

8 lines
254 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# Nani kama mimi? Na atangaze
Yahwe anatumia swali hili la balagha kusisitiza ya kwamba hakuna mtu kama yeye. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "kama yeyote anafikiri ni kama mimi, na atangaze"