# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # Nani kama mimi? Na atangaze Yahwe anatumia swali hili la balagha kusisitiza ya kwamba hakuna mtu kama yeye. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli. "kama yeyote anafikiri ni kama mimi, na atangaze"