sw_tn/isa/43/14.md

20 lines
412 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# Mtakatifu wa Israeli
Mtakatifu wa Israeli
# Nimetuma Babeli na kuwaongoza wote chini
Kitu cha kitenzi "tuma" kinaweza kutumika katika tafsiri. "Ninatuma jeshi Babeli"
# kuwaongoza wote chinii kama wakimbizi
"ongoza Wababeli wote chini kama wakimbizi"
# wakimbizi
Mkimbizi ni mtu ambaye hukimbia mbali ili adui yake asiweze kumkamata.