# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # Mtakatifu wa Israeli Mtakatifu wa Israeli # Nimetuma Babeli na kuwaongoza wote chini Kitu cha kitenzi "tuma" kinaweza kutumika katika tafsiri. "Ninatuma jeshi Babeli" # kuwaongoza wote chinii kama wakimbizi "ongoza Wababeli wote chini kama wakimbizi" # wakimbizi Mkimbizi ni mtu ambaye hukimbia mbali ili adui yake asiweze kumkamata.