|
# Taarifa ya Jumla
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kuzungumza
|
|
|
|
# Watageuzwa; watafedheheshwa kabisa
|
|
|
|
Kuwakataa wale ambao huabudu sanamu inazungumziwa kana kwamba ni kuwalazimisha kugeuka na kuelekea upande mwingine. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nitawakataa na kuwatia aibu"
|