# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # Watageuzwa; watafedheheshwa kabisa Kuwakataa wale ambao huabudu sanamu inazungumziwa kana kwamba ni kuwalazimisha kugeuka na kuelekea upande mwingine. Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Nitawakataa na kuwatia aibu"