sw_tn/isa/42/10.md

20 lines
450 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza
# bahari, na vyote vilivyomo, nchi za pwani, na wale wanaoishi pale
"na viumbe wote ambao huishi katika bahari, na wale wote wanaoishi katika nchi za pwani"
# Acha jangwa na miji ipaze sauti
Hii ina maana ya watu wanaoishi katika jangwa na miji.
# Kedari
Hili ni eneo kule Uarabuni. Kedari inawakilisha idadi ya watu wa Kedari. "ya watu wa Kedari"
# Sela
wakazi wa Sela - Sela ni mji wa Edomu.