# Taarifa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza # bahari, na vyote vilivyomo, nchi za pwani, na wale wanaoishi pale "na viumbe wote ambao huishi katika bahari, na wale wote wanaoishi katika nchi za pwani" # Acha jangwa na miji ipaze sauti Hii ina maana ya watu wanaoishi katika jangwa na miji. # Kedari Hili ni eneo kule Uarabuni. Kedari inawakilisha idadi ya watu wa Kedari. "ya watu wa Kedari" # Sela wakazi wa Sela - Sela ni mji wa Edomu.