sw_tn/isa/41/11.md

16 lines
424 B
Markdown

# Taarfa ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# wataona haya na kuaibika, wote ambao walikuwa na hasira juu yako
"wote ambao walikuwa na hasira na wewe watapata haya na kuaibika"
# wataona haya na kuaibika
Maneno haya mawili yana maana moja na husisitiza ukuu wa aibu yao.
# watakuwa si kitu na kuangamia, wale wanaopingana na wewe
"wale ambao wanapingana na wewe watakuwa si kitu na wataangamia"