# Taarfa ya Jumla Yahwe anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli. # wataona haya na kuaibika, wote ambao walikuwa na hasira juu yako "wote ambao walikuwa na hasira na wewe watapata haya na kuaibika" # wataona haya na kuaibika Maneno haya mawili yana maana moja na husisitiza ukuu wa aibu yao. # watakuwa si kitu na kuangamia, wale wanaopingana na wewe "wale ambao wanapingana na wewe watakuwa si kitu na wataangamia"