sw_tn/isa/40/11.md

4 lines
215 B
Markdown

# Atalisha kundi lake kama mchungaji
Mwandishi anazungumzia watu wa Yahwe kana kwamba walikuwa kondoo na juu ya Yahwe kana kwamba alikuwa mchungaji wao. "Atawatunza watu wake kama mchungaji anavyolisha kundi lake"