sw_tn/isa/21/11.md

24 lines
617 B
Markdown

# Tamko
"Hivi ndivyo Yahwe anavyotamka" au "Huu ni ujumbe kutoka kwa Yahwe"
# kuhusu Duma
Hili ni jina lingine kwa ajili ya Edomu. Hapa "Duma" inawakilisha watu wanaoishi kule. "kuhusu watu wa Duma" au "kuhusu watu wa Edomu"
# Mtu ananiita kwangu
Hapa "ananiita" ina maana ya Isaya.
# Seiri
Hili ni jina la milima ya magharibi mwa Edomu.
# Mlinzi, nini kimebaki usiku? Mlinzi, nini kimebaki usiku?
Hii inarudiwa kusisitiza ya kwamba mtu yule anayeuliza swali ana wasiwasi na woga.
# kama unataka kuuliza, basi uliza; na urudi tena
"Niulize sasa kile unachotaka kujua, lakini pia uje baadaye uniulize tena"