sw_tn/isa/21/10.md

12 lines
306 B
Markdown

# Wale niliowapukuta na kuwapembua, watoto wa sakafu yangu ya kupukuchua
Watu wa Israeli kuteseka kwa sababu ya Wababeli inazungumziwa kana kwamba watu walikuwa nafaka ambayo ilipukukutwa na kupembuliwa.
# niliowapukuta
neno "yangu" ina maana ya Isaya.
# Yahwe wa majeshi
Yahwe wa majeshi ya Israeli.